About Mwangaza

Mwangaza Ni tovuti inayokuletea habari kwa lugha ya kishwahili. Habari za mwangaza hufanyiwa uchunguzi kabla ya kuachiliwa hewani ili kuhakikisha habari zenyewe zipo sahihi.

Timu nzima ya mwangaza imehitimu na wote wanafanya kazi ndani ya tovuti hii ni wanahabari walio na uzoefu mkubwa sana. Kilichochangia kufunguliwa kwa tovuti hii ni baada yakuona tovuti za habari kwa lugha ya kishwahili zipo chache na haziangazii sanaa kwa undani zaidi

Tuliamua kutumia jina mwangaza ili kuwa wazi katika habari zetu kwani chochote chenye kipo kwa mwangaza hakiwezi fichika.

Tunajaribu kivyovyote kuhakikisha unapata habari katika pande zote za dunia. Kama jina yetu “mwangaza”, tunahakikisha tunaangaza kila sehemu.

Mwangaza

Ukitaka kuwasiliana na timu nzima ya mwangaza unaweza ukatupata facebook au pia unaweza ukatuandikia kwa kubonyeza hapa. Contact

Loading