Sanaa

Alex Mwakideu asema haamini mkewe

Sio wanaume wengi wanaweza jitokeza na kuyanena haya Ila Alex Mwakideu ameamua kusema hewani kuwa haamini kabisa mke wake.

Alex Mwakideu Ni mtangazaji maarufu ndani ya milele fm. Yeye na jalang’o Ni marafiki sana na wawili hawa walikuwa wanafanya kipindi pamoja ndani ya milele fm kabla jalang’o hajahamia kiss FM.

View this post on Instagram

Time for MILELE BREAKFAST!!! Unaskiza ukiwa wapi???

A post shared by ALEX MWAKIDEU (@alex_mwakideu) on

Alex Mwakideu alisema kutomwamini mkewe haimanishi kuwa hampendi Ila anampenda zaidi. Mwakideu alisema ana amini mamake peke yake.

Alex Mwakideu mother
Mamake Alex Mwakideu

Alipoulizwa kama anaweza kubali kufa ili kukinga mkewe alisema kuwa yategemea Ila akaongezea kwa watoto wake anaweza jitolea kufa.

Alex Mwakideu children
Watoto wa Alex Mwakideu

Chenye Alex Mwakideu alifanyiwa na mkewe hakijajulikana lakini huenda Ni Imani yake kuwa usiamini kila mtu hata Kama ni mkaribu wako.

Akiongea na jalang’o, Alex Mwakideu aliongezea kusema kwamba mwaka wa 2022 atajiingiza kwa siasa na atagombea kiti Cha ubunge maeneo ya wundanyi.

Soma hii pia (Tazama mpenzi mpya wa diamond platnumz)

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *