Youtube videosMziki

Alikiba Bwana Mdogo Patoranking Official Music Video

Alikiba ameamua kama mbaya wacha iwe mbaya. Alikiba ameachia EP ambayo kwa sasa imepata kusikizwa na watu wengi sana.

Kwenye Ep yake, Alikiba amefanya Kazi na wasanii wa nchi kadhaa kama vile Kenya, Nigeria Tanzania na zinginezo. Kwa sasa nyimbo yake iliyoshika Kasi sana ni bwana mdogo ambayo ni kolabo yake na Patoranking kutoka nchi ya Nigeria.

Ili kuwa wa kwanza kuitazama video ya Alikiba Bwana Mdogo Patoranking, bonyeza link ifuatayo

Tazama hii pia : Alikiba Oyo Oyo 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *