MzikiYoutube videos

Alikiba & Dj. SBU – Nakupenda Video

Ndio mkoko umealika maua na baada ya kuachia colabo za wasanii wenzake, Alikiba & Dj. SBU – Nakupenda Video imeachika. Ni video inayotembea kwa Kasi sana na siku chache tayari video yenyewe ishafikisha views zaidi ya milioni mbili.

nakupenda by alikiba new video

Alikiba aliamua kizungu yaani kama mbaya mbaya. Muundo wake ni wakimataifa na Ina maana anatarajia market ya nchi za nje. Alikiba ni msanii anayeogopewa sana na wafuasi wa diamond platnumz.

Tazama hii pia ( darasa ft. Alikiba | proud of you)

Kea Mara ya kwanza tazama Alikiba & Dj. SBU – Nakupenda Video hapa mwangaza alafu ukiweza kutoa maoni yako kea kutupia comment yako hapo chini itakuwa tu shwari.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *