Youtube videosMziki

Alikiba feat Sauti Sol – Let me

Let me ni track namba kumi na tatu ndani ya Ep mpya ya king kiba. Ifahamike kwamba Alikiba aliachia Ep mpya hivi majuzi inayoenda kwa jina “Only one king”.

Katika Ep yake, Alikiba amefanya kolabo wa wasanii tofauti tofauti barani afrika na pia ako na single tracks kadhaa. Kwa sasa album hiyo ipo sokoni na inaendelea kupata usikilizaji mkubwa dunia nzima. Juzi alikuwa Nairobi tour kwenye tamasha ya Alikiba listening ambapo Tanasha alikuwa miongoni mwa walioalikwa.

Alikiba amewapa mtihani mkubwa sana washindani wake wakiwemo diamond platnumz na harmonize na itabidi wajitahidi sana. Ili kuweza kuisikiza nyimbo ya Alikiba feat Sauti Sol – Let me, bonyeza link ifuatayo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *