Alikiba ft Rudeboy – Salute
Baada ya Diamond platnumz kuachia kamata, upande mwingine Kuna Alikiba ft Rudeboy – Salute. Kumbuka wawili hawa hushindanishwa kwani mashabiki wao ni tofauti
Alikiba ft Rudeboy – Salute ni nyimbo ambayo inachezeka kwa klabu na nafikiri DJs watapata Kazi rahisi.
Kwa Mara ya kwanza isikize nyimbo ya Alikiba ft Rudeboy – Salute hapa mwangaza news
Tazama hii : Diamond platnumz kamata