Alikiba Oya Oya | Video
King wa mziki wa bongo Alikiba ameachia Kazi mpya inayojulikana kama Oya Oya. Ni Kazi iliyofanywa kwa makini sana na kama kawaida ya msanii huyu, nyimbo zake huduma sana ndio maana huwa anachukua mda kabla ya kuachia mziki mpya.
Alikiba hushindanishwa na Diamond platnumz ambaye pia ni msanii anayeogopewa zaidi katika mziki wa bongo. Alikiba Oya Oya unaweza ipatikana hapa mwangaza news na unaweza itazama kwa kubonyeza link ifuatayo.