MzikiSanaaYoutube videos

Amber Lulu x Rolex Eyes – Nimeachika

Amber Lulu x Rolex Eyes – Nimeachika ndio habari ya mjini. Ni Kazi mpya ya amber Lulu akiwa ameshirikiana na Rolex Eyes.

Amber lulu huwa hana style maalum ya mziki na hii inamanisha kuwa anaweza kufanya mziki wa aina yoyote.

Ili kuitazama video mpya Ya Amber Lulu x Rolex Eyes – Nimeachika, fuata link iliyoko hapa chini

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *