MzikiYoutube videos

Anjella X Harmonize – Kioo

Baada ya kujitokeza huku amevaa nguo za kike zilozozua mjadala, Harmonize ameachia video ya Kioo aliyomshirikisha Anjela. Ni video inayoonekana ya quallity ya juu. Kwa sasa utakuwa unaelewa ile nguo ya kike harmonize akavaa ilikuwa kwa ajili ya video tu na sio vile wengi walivyodhania. Kuitazama video ya Anjella X Harmonize – Kioo, Bonyeza link ifuatayo

Video: Anjella X Harmonize РKioo 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *