Mziki

Avril – Come home video

Baada ya kunyamaza kwa mda, Avril ameachia nyimbo mpya, Avril – Come home Ni video iliyo na ubora zaidi na nyimbo pia ametengenezwa kwa ustadi zaidi.

Avril – Come home imeandikwa na Avril akishirikiana na J blessings. Kwa Sasa inapata utazamaji mkubwa ndani ya YouTube hii ikimanisha wengi walikuwa wanatamani kuskiza kazi ya Avril.

Avril Ni Kati ya wale wasanii wa hapo mwanzo. Naweza sema ni mmoja wa wale wasanii waliotambulisha mziki wa kenya. Wengine Ni Kama nameless, Marehemu E-sir, Redsun, Amani na wengine.

(Video mpya ya willy Paul na bien sauti sol)

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *