Baba Levo – Binadamu
Baba Levo – Binadamu ndio nyimbo aliyoachia baada ya Sakata ya harmonize. Kama umekuwa ukifuatilia mitandao utakubaliana na Mimi kwamba baba levo ndio hutumika zaidi kumchana harmonize.
Ili kuweza kuisikiza Baba Levo – Binadamu, bonyeza link ifuatayo upate maneno ya Baba levo na uweze kuelewa anachokimanisha.