Baba levo ft. Diamond platnumz – Shusha
- Baba levo ft. Diamond platnumz – Shusha ni video ya kimataifa
- Baada ya kungojea Sukari yake Zuchu, diamond ameamua kuachia kazi tofauti.
- shusha inaonekana kuongelea kuhusu wanaojaribu kushindana na diamond a.k.a Simba
Video hii inapoanza utafikiria ni sinema ya vita. Shusha ni video iliyofanywa na ubora wa hali ya juu. Pia nyimbo hii yao Baba levo ft. Diamond platnumz – Shusha ni Kazi inayoonekana kutumia hela ya juu sana kuandaa video.
Baba levo sio msanii anayejulikana sana ila kumhushisha diamond platnumz kwenye project yake mpya shusha kumempa jina na kwa saa hii baba levo apo vinywani vya watu.
Kwa Mara ya kwanza tazama video mpya Baba levo ft. Diamond platnumz – Shusha hapa mwangaza news kwa Mara ya kwanza.