Mchipuko

Babake diamond platnumz alilia mwanawe amsaidie

Baada ya diamond platnumz kujitokeza na kusema atawalipia watu Mia tano Kodi za nyumba, babake diamond platnumz amejitokeza na kuomba mwanawe asimsahau kwani anapitia magumu.

Babake diamond platnumz alisema yeye sio sana kuongea na mwanawe Ila wakati mwingine huongea na boss tale ambaye ni meneja wa diamond platnumz. Aliongeza kusema diamond anafaa kumkumbuka hata bila yeye kumlalamikia.

Haioneshi picha nzuri Kama kila siku nitakuwa namfuata ili aweze kunisaidia. Anafaa ajue Kuna mtu Kama Mimi anahitaji msaada na pia anafaa afahamu kuwa Mimi ni babake na hatawi kuwa na baba mwingine

Babake diamond platnumz

Uhusiano wa wawili hawa haujakuwa mzuri kwa mda kwani inasemekana diamond platnumz hakufurahishwa babake alivyoacha familia yake wakiwa wadogo. Kuna mda waliwahi kurudiana hata wakajitokeza hadharani hata kwenye mitandao Ila haijulikani kipi kilichotokea Kati yao.

Soma hii pia (zuchu azidi kupata umaarufu kwa mda wa mwezi mmoja)

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *