International

BAHATI Feat. DIANA MARUA – THE ONE

Bahati ni msanii kutoka nchi ya Kenya. Diana marua ni mke wa bahati na wawili hawa wameamua kufanya Kazi pamoja. Kolabo yao inajulikana kama the one.

Kumbuka bahati aliachia album yake hivi majuzi na Kati ya kolabo zingine zilizoko kwa listi ni pamoja na kolabo yake na jovial kwa jina size yangu

Ili kuitazama video ya BAHATI Feat. DIANA MARUA – THE ONE, bonyeza link ifuatayo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *