Bahati Jovial Size yangu : Video
Baada ya kuachia Ep yake, Bahati ameamua kuachia video. Bahati Jovial Size yangu ndio video mpya ya bahati akiwa ameshirikiana na jovial.
Kaa mkao wa kula ili uweze kuitazama Bahati Jovial Size yangu hapa mwangaza news