Bahati Rayvanny – Kiss
Bahati Rayvanny – Kiss imeachika leo. Ni nyimbo ya msanii kutoka nchini kenya na Rayvanny kutoka nchi ya tanzania.
Bahati aliachia EP yake kwa jina fikra za bahati juzi na tunaweza sema amefanikiwa kwani baada ya mda mfupi alipata stream zaidi ya milioni kwenye mitandao
Kwa Mara ya kwanza tazama video ya ya Bahati Rayvanny – Kiss hapa mwangaza news