Bazenga – Ethic entertainment
Video ya Bazenga – Ethic entertainment ipo hewani na kwa sasa unaweza itazama ndani ya youtube. Ethic entertainment wamekuwepo kwa mda Ila Kuna mda ndoto yao ilikatwa baada ya youtube channel yao kufungwa.
Bazenga – Ethic entertainment imepata utazamaji mkubwa ndani ya youtube kwani saa hii Ina trend. Kuna mda kikundi hiki kiliwahi kufikishwa mahakamani kwa kutumia lugha mbaya iliyoonekana kuwaingilia watoto wadogo na wanawake.
Kwa sasa wamerudi tena na Kazi mpya. Kwa Mara ya kwanza tazama video ya Bazenga – Ethic entertainment
Soma hii : jalang’o aongea mazito kuhusu Omosh