Youtube videosMziki

Bien x Aaron Rimbui – Mbwe Mbwe

Kutoka nchi ya Kenya, Bien x Aaron Rimbui – Mbwe Mbwe ndio habari ya mtaa. Bien ni mmoja wa sauti sol na sauti yake ni ya kipekee.

Kwa mda sasa amekuwa akiachia nyimbo na wasanii tofauti tofauti akiwemo Aaron Rimbui. Ili kuitazama video ya Bien x Aaron Rimbui – Mbwe Mbwe, bonyeza link ifuatayo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *