MzikiYoutube videos

Cartoon – Mbona unacheat

Cartoon comedian ni mchekeshaji nchini Kenya. Kulingana na taarifa za hapo awali, mwanadada huyu aliachwa na mpenzi wake baada ya kuwa na yeye kwa mda mrefu.

Hii ilimuumiza sana mpaka akaamua kutoka kwenye mitandao kwa mda. Ni juzi tu alitangaza kuwa ataachia nyimbo iliyomgarimu milioni mbili za Kenya. Ili kuitazama video ya Cartoon – Mbona unacheat, bonyeza link ifuatayo.

Video : Mbona unacheat – cartoon

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *