Youtube videos

Chikuzee x Cannibal – Hallelujah

Chikuzee x Cannibal – Hallelujah ni nyimbo mpya ya wakali hawa wawili wa pwani na imezua gumzo mtaani.

Msanii wa Kenya maarufu kama Chikuzee amewashangaza wengi sana baada ya kuachia mziki wa injili kwa jina hallelujah. Kama inavyojulikana, Chikuzee ni muisilamu na kufanya mziki wa injili ni tofauti na marsharti na dini yake.

Kwenye hii nyimbo Chikuzee ameshirikiana na Cannibal ambaye kwa sasa huwa anafanya mziki wa injili. Bado Chikuzee hajajitokeza wazi kuongelea nyimbo hii ndio wafuasi wake waweze kuelewa sababu ya yeye kufanya mziki aina hii.

Video : Chikuzee x Cannibal – Hallelujah

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *