MaishaMchipuko

Chris kirubi Afariki dunia

Mfanyi biashara maarufu kwa jina Chris kirubi ameaga dunia. Mwanabiashara huyu amekuwa akiugua kwa mda na amekuwa akipokea matibabu. Mwaka wa 2017 aliwahi kwenda marekani kwa matibabu zaidi.

Chris kirubi Raila odinga

Ni masikitiko makubwa tunatangaza kifo Cha Dr. Christopher J. Kirubi aliyeaga dunia tarehe 14 June 2021 mda wa saa saba nyumbani kwake baada ya kuungua ugonjwa wa saratani kwa mda. Wakati akiaga alikuwa amezungukwa na familia yake….”

Chris kirubi uhuru kenyatta

Kabla ya kuaga, Chris kirubi aliweka post kwa Twitter yake akiwahimiza wakenya kutia bidii ili kufaulu maishani.

Chanzo Cha kifo Cha magufuli

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *