Coco Willy Paul Ft. Avril
Coco Willy Paul Ft. Avril ni nyimbo ambayo sio wengi walitarajia kwamba wawili hawa wangeachia. Ni hivi juzi tu willy Paul alisemekana kumtongoza Avril.
Kwa Sasa siwezi kueleza kama willy Paul alikuwa na nia ya kimapenzi na Avril ama ilikuwa ni kiki kama wanavyofanya wasanii kutoka Tanzania.
Kama haujaitazama Coco Willy Paul Ft. Avril, fuata link ifuatayo na bila shaka utafurahia burudani ilioyopo pale