Afya

Coronavirus: Mahakama kuu nchini Kenya yasitisha usafiri wa Ndege kwenda china

Baada ya daktari wawili na Martha karua kuwashilisha kesi ya kupinga Ndege za nchini Kenya kusafiri China,  mahakama kuu  imeamrisha Ndege za Kenya kutosafiri nchini China.

Hii imetokea baada ya kusemekana kuwa Kuna Ndege kutoka nchini humo iliingia nchini Kenya na abiria zaidi ya Mia mbili. Taarifa hiyo haikupendeza wanainchi wakiwemo wanasiasa, wanasheria na madaktari kwa jumla.

Zaidi ya watu elfu sabini wanasemekana kuwa na viini vya Corona virus. Kutokana hatua ya mahakama kuu nchini Kenya, wanainchi wamefurahia wakitaja hatua hiyo kuwa yakufana sana.

Tuko na Imani serikali ya Kenya itaweza kudhibiti ugonjwa wa Corona virus unaosumbua ulimwengu mzima kwa jumla.

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *