Sports

Cristiano Ronaldo yuiaga Juventus arudi Manchester united

Timu ya Manchester united imetangaza kuelewana na wamekubaliana na klabu ya Juventus kumhamisa mchezaji Cristiano Ronaldo kutoka timu ya Juventus na sasa atakuwa anachezea timu ya Manchester united.

Mkataba wa Cristiano Ronaldo na timu ya Manchester ni pamoja na mambo yake ya ndani, visa pamoja na mambo na matibabu.

Cristiano amekuwa mshindi Mara tano na ameshinda zaidi ya tuzo 30. Hizi ni pamoja na tuzo tano za UEFA champions league titles. Nne za FiFA club world cups, saba za ligi ya England, Spain na Italy. Wakati akiwa Manchester united, Cristiano Ronaldo alifunga mabao 118 kwa mechi 292.

Kwa sasa kila mmoja anangojea vile Cristiano Ronaldo atakavyocheza kwa mechi yake ya kwanza akiwa Manchester. Kumbuka alianza kuchezea Manchester united na tunaweza sema hapa ni nyumbani kwake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *