Youtube videosMziki

David Wonder – One God

David Wonder amekuwa akifanya mziki wa kusifu ama gospel music ukipenda. Amekuwa kwa game ya mziki kwa miaka mingi na kwa sasa Anajulikana sana afrika mashariki.

David Wonder – One God imependwa zaidi na watu. Huenda hii nyimbo ikamueka sehemu nzuri katika kazi yake ya mziki. Ili kuitazama video ya David Wonder – One God, bonyeza link ifuatayo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *