Mchipuko

Diamond platnumz aanzisha wasafi bet

Bila shaka diamond platnumz ni mwanabiashara. Leo hii ameanzisha wasafi bet, ambao ni app ya kubeti katika michezo mbalimbali inayoendelea duniani kama vile soka na kadhalika.

Kunazo kampuni nyingi zinazofanya biashara za kubeti na hii ya diamond platnumz imeongeza idadi zaidi. Kumbuka diamond platnumz ana biashara zaidi na hii itaongeza mapato kwake huku akiongeza ajira kwa wanatanzania.

Kulingana na dini, beting huwa hairuhusiwi ila kwa diamond platnumz ni kama hii haiwezi kumzuia kuendeleza maisha yake. Hapa mwangaza tunamtakia diamond platnumz kila la heri katika biashara yake mpya ya wasafi bet.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *