Youtube videosMziki

Video | Diamond Platnumz – Fine

Diamond Platnumz – Fine ndio mpango mzima. Kumbuka hii ni majawapo wa zile nyimbo zenye ziko kwenye Ep ya diamond aliyoiachia juzi kwa jina first of all ( #FOA).

Video ya fine yake diamond imefanyika kwa ubora wa hali ya juu na kama kawaida yake diamond platnumz hajawahi angusha wafuasi wake. Tazama video ya Diamond Platnumz – Fine hapa mwangaza kwa mara ya kwanza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *