Mchipuko

Edgar Obare ajitetea kwa Jalango

Ni skedo iliogonga vichwa vya habari huku chanzo chake kusemekana kuanzishwa na mwana youtube. Edgar obare aliweka picha kwenye mitandao ilioonyesha kuwa Jalango ni mmoja wa group ya whatsapp ya Boys Club inayosemekana kuwa washirika wa group hii hutumia wanawake na kuwatupa.

Edgar Obare

Katika ukarasa wake wa twitter Edgar Obare aliandika; … Mimi ni mtu mzuri…

Jalango hukupendezwa na hatua ya Edgar Obare ya hapo awali ila alisema kuwa hiyo group ya whatsapp ipo kwa miaka mingi ila haitumiki kama alivyodai Edgar Obare. Alisema group yenyewe ni ya marafiki wake wa kutoka zamani na huwa wanaongea kuhusu maendeleo na hamna la ziada.

Jalango alimpa onyo Edgar Obare akisema itamkuta siku moja. Aliongezea kuwa group za wanaume hawakosi kuongea kuhusu wanawake na pesa. Jalango alisema hawatajitetea ila siku moja watu wajua ukweli. Jalango alisema jina lake limeharibiwa na wengi wamekuwa wakimpigia simu kuhakikisha kama ni kweli. Hii ilimuuma sana na alitaka kujua chenye Edgar Obare anapata wakati anafanya mambo kama haya ya kuharibu familia.

Kulingana na fununu kuwa amesimamishwa kazi, Jalango alisema kuwa apo mapumzikoni na hivi karibuni anarudi kazini. Aliwaeleza wafuasi wake wasiwe na hofu yoyote kwani haya ni mapito tu.

Soma hii pia ( Willy paul na bahati waanzisha vita upya)

 

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *