Fall; Nyimbo mpya ya Mbosso
Fall; Nyimbo mpya ya Mbosso ipo hewani na kwa sasa inapata kuchezwa kwa media houses nyingi nchini tanzania na barani afrika kwa jumla.
Kama unakumbuka vizuri, wasafi walikuwa wakisikuma msanii wao wa kike Zuchu mpaka wengi wakadhania kuwa hao wengine akina Rayvann, Mbosso na Lavalava wamesahaulika. Wasafi wameanza kuachia kazi za Hawa wasanii huku Fall; Nyimbo mpya ya Mbosso ikionyesha muonekano mpya wa Mbosso.
Kumbuka msanii huyu hupendwa sana na nyimbo zake husikizwa na watu wengi sana duniani. Hapa mwangaza tunamtakia kila la heri.
Kwa Mara ya kwanza tazama, Fall; Nyimbo mpya ya Mbosso kwa kubonyeza hapa chini
1,954 total views, 2 views today