Youtube videosMziki

Fancy Fingers – Rhumba Toto (Official Music Video)

Fancy Fingers – Rhumba Toto ni Kazi mpya ya msanii mmoja wa kikundi cha sauti sol. Kwa sasa wasanii hawa wanafanya solo project na kila msanii ana ruhusa ya kufanya Kazi kivyake.

Bien pia amefanya Kazi zake kadhaa na zinaendelea kupata usikilizaji mkubwa Kenya na afrika kwa jumla. Ili kuweza kutazama video ya Fancy Fingers – Rhumba Toto, bonyeza link ifuatayo.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *