Flavour Berna Reloaded Ft. Fally Ipupa & Diamond platnumz
Flavour Berna Reloaded Ft. Fally Ipupa & Diamond platnumz ni nyimbo mpya ya wakali watatu. Hawa wasanii wanajulikana dunia nzima na hii kolabo yao huenda ikasambaa dunia nzima.
Watatu hawa wanajua kuchezesha viuno na tuseme labda hii ndio inachangia mapenzi wanayoyapata kwa wanawake wengi.
Nyimbo hii Ina ubora wa hali ya juu sana kuanzia audio mpaka video. Wachezaji wanaocheza pale wanatoa burudani ya hali ya juu sana.
Kwa Mara ya kwanza itazame video ya Flavour Berna Reloaded Ft. Fally Ipupa & Diamond platnumz hapa mwangaza news ili uweze kupata burudani ya kukata na shoka
Tazama hii pia : masauti trio Mio no stress