Siasa

Gavana wa Nairobi Mike Sonko atetea uamuzi wake

Siku chache baada ya kupeana county ya Nairobi kwa serikali kuu, Sonko ametetea uamuzi huo akidai ushirikiano wake na serikali kuu utachangia pakubwa mno katika maendeleo ya Nairobi.

Kama umekuwa ukifuatilia, siku chache zilizopita Sonko aliweza kutia sahihi kwa kuitoa Nairobi county mikononi mwake. Tukio hilo lilifanyika akiwemo rais Uhuru Kenyatta.

Sonko ameongeza kuwa watashirikiana na serikali kuu ili wahakikishe wanainchi wa Nairobi watafaidi vya kutosha. Kulingana na wakaazi wa Nairobi, hatua hiyo hawakuifurahia kwani walidai wao ndio waliomchagua hivyo ilitakikana nao wahushishwe katika huo mkataba.

Sonko atabaki kutumikia county ya Nairobi japo majukumu mengi yamechukuliwa na serikali kuu. Hapa mwangaza tunafuatilia matukio na tutazidi kutoa ripoti kadri tunazozipokea

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *