Youtube videosMzikiSanaa

Happy C Mariana – Official video

Happy C Mariana  ndio nyimbo yenye ipo kwa trend na unaweza ipata kwenye mitandao. Happy C amekuwa akifanya Kazi nzuri kutoka ajitoe kwenye kikundi cha wawindaji.

Mziki wake umekuwa ukigharamiwa na gavana wa mombasa Ali Hassan Joho pamoja na gates mgenge ambaye ni mtangazaji Pwani FM.

Kuitazama Kazi yake Happy C Mariana, bonyeza link iliyoko hapa chini na ili uwe wa kwanza kuipata burudani ya kufa mtu.

Tazama hii pia : Happy C Mateka Video

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *