Harmonize feat Lady Jay Dee – Wife mp3 download
Sio wengi walitegemea kuwa wawili hawa wangeweza kufanya colabo pamoja. Harmonize feat Lady Jay Dee – Wife ni kazi nzuri kutoka kwa wawili hawa na kwa sasa harmonize anaonekana akiwa na uhuru wa kufanya colabo na msanii yeyote anyemtaka
ni wasanii tajika nchini tanzania. Nyimbo yao mpya inapata views nyingi kwa youtube na kwa hivi sasa mafans wengi afrika mashariki na ulimwengu kwa jumla wanaitazama
Jay Dee alionekana kunyamaza kwa mda ila hii nyimbo yake mpya na Harmonize inaonyesha kuwa bado ako sawa na kila akiachia nyimbo inakuwa hit
pata Harmonize feat Lady Jay Dee – Wife mp3 download hapa
1,014 total views, 1 views today