MzikiYoutube videos

Harmonize – Nataubeba : Kajala kwenye video ya harmonize

Harmonize – Nataubeba ndio habari ya mtaa. Video hii Ina mabusu zaidi na kama kawaida inaonekana ni Raha kufanya kazi na mpenzi wako kwani kila kitu kinafanyika ukweli na hakuna maigizo

Kwa mara ya kwanza, Kajala Masanja ameeka historia baada ya kukubali kuwa kama video vixen kwenye video mpya ya harmonize kwa jina nitaubeba.

Harmonize hivi majuzi aliachia kazi mbili ikiwemo hii ya nitaubeba na nyengine kwa jina amelowa. Huenda video ya amelowa ikawa iko njiani ila kwa sasa tazama video hii mpya ya Harmonize – Nataubeba.

Video: Harmonize – Nataubeba

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *