Youtube videosMziki

Harmonize – Outside (Official Music Video)

Baada ya kuachia album, harmonize ameanza kuachia video moja baada ya nyingine. Harmonize – Outside ndio nyimbo ya kwanza kuachia video yake.

Kumezuka mjadala kuhusu album ya harmonize wengi wakiiponda na kusema haiko vizuri. Harmonize anaonekana kutowasikiza na anaendelea na harakati zake za ku promote album yake.

Ili kuweza kuitazama video ya Harmonize – Outside bonyeza hapa chini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *