Mchipuko

Jinsi ya kulipia king’amuzi Cha startimes

Kwa wale wamekuwa wakiulizia Jinsi ya kulipia king’amuzi Cha startimes, utaratibu wake tutauelezea hapa. Kulipia king’amuzi Cha startimes kutumia mpesa, unatakiwa kufuata haya maagiza.

  • Kwenye simu yako bonyeza *150*00#.
  • Chagua nne (4) “lipa na mpesa” kama njia yako ya kulipa.
  • chagua 4 tena ili kuweka number ya kampuni ambayo ni 700100
  • Ukishamaliza kuweka number ya kampuni weka number yako ya startimes smart card yenye nambari kumi na moja kisha bofya ok.
  • Jaza kiwango cha pesa unachotakiwa kulipa kisha bofya ok.
  • Weka number yako ya Siri kisha tuma

Ukitaka kuwasilana na startimes kea usaidizi piga 0753216085

Bei ya vifurushi vya startimes

Bei ya vifurushi vya king’amuzi Cha startimes hutegemea na orodha ya chaneli. Utakavyolipa hela nyingi ndio utakuwa na uwezo wa kutazama chaneli nyingi. Malipo ya vifurushi vya king’amuzi Cha startimes ni Kama ifuatayo

Kulipia king’amuzi Cha startimes na mpesa

  • Nyota, hii ndio ya kiwango cha chini ambacho ni 9,000/ kwa mwezi
  • Smart kiwango chake kikiwa ni 12,000/ kwa mwezi, wiki Elfu sita na 1,500 kwa siku.
  • Super 36,000/ kwa mwezi, wiki Elfu kumi na mbili na siku moja 3,000.

Ukichagua kifurushi Cha Nyota huna uwezo wa kulipa kwa siku ama kwa wiki ila vifurushi vingine vyote unaweza chagua kulipia kea siku ana wiki.

Kulipia king’amuzi Cha startimes na Airtel money

Soma hii pia (Jinsi ya kulipia king’amuzi Cha Azam)

 

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *