Mziki

Ibraah Ft Harmonize – Addiction

Ibraah Ft Harmonize – Addiction ndio habari ya mjini. Harmonize ameamua kuachia mzigo na mwanawe Ibraah. Addiction ni Kazi kubwa sana na huenda ika trend sana.

Ibraah huwa ana uwezo sana na kama ni kuandika anajua zaidi. Ili kuisikiza nyimbo ya Ibraah Ft Harmonize – Addiction, bonyeza link ifuatayo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *