Ibraah – Mapenzi
Ibraah – Mapenzi ni nyimbo mpya inayoonekana kama huenda ikawa mwanzo mpya wa msanii huyu wa konde gang kwa jina maarufu Ibraah.
Kumekuwa na tetesi kwamba wasanii wa label ya konde gang huwa hawaingii kwa trending. Kwa Mara ya kwanza, Ibraah – Mapenzi imeingia kwa trending. Leo April 7 2021, video hii iko namba #37 ndani ya youtube. Hii Ina maana harmonize ana Jambo la kujivunia.
Kumbuka konde gang walimchukua anjella kwenye kikosi chao na kusema kweli msanii huyu wa kike anafanya vizuri sana. Kwa sasa, itazame Ibraah – Mapenzi hapa mwangaza news
Tazama hii pia ( anjella ft Harmonize)