Sanaa

Ibraah – Sawa (Official video): Harmonize aamua kuigiza mwenyewe

Ibraah ameachia kifaa cha pili baada ya kusign na Harmonize ndani ya Konde Gang. Hii itakuwa video yake ya pili na kwa kweli meneja wake harmonize ameamua kumfanyia kazi kiriho safai. Ndani ya hii video Harmonize ameamua kuigiza mwenyewe na utakubaliana nami kuwa huyu jamaa ako sawa sanasana anapoigiza kama maskini.

Ina maana maisha yake ya hapo mbeleni kabla hashika hela ilimfundisha mengi sana. Itazame hii video alafu nipe majibu ipo vipi.

Tazama hapa (Dili ya harmonize ya hela ndefu )

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *