Sanaa

Je, Rayvanny anajiondoa WCB?

Rayvanny ambaye kwa jina halisi Anajulikana kana Raymond Shaban Mwakyusa ameamua kuwa wazi kuhusiana na madai yake ya kutoka label ya wasafi. Wengi wamekuwa wakidai msanii huyu ako tayari kuondoka label ya wasafi ila mpaka leo bado Yuko palepale

wakati akihojiwa katika wasafi Tv, rayvanny alijikuta matatani wakati mafans walitaka kujua akiondoka wasafi records ataenda label gani kwani maneno yameenea kila sehemu kwamba yuataka kuhama wasafi WCB

rayvanny ambaye ni mzazi wa mtoto mmoja alisema kuwa Hana mipango yoyote ya kuhamia label yoyote na bado Yuko WCB. Aliongezea kusema wakati ataamua kutoka wasafi, basi atanzisha label yake mwenyewe lakini hawezi ingia kwa label ya mtu mwingine.

Before sijaongeoa chochote, Vanny Boy, Wasafi for Life Beiby. Kwanza nisema naishukuru sana Management yangu, WCB Wasafi, Namshukuru sana Diamond Platnumz kwa sehemu niliyofika. Nikiamua kuwa na label, naweza hata kuwa na label hata tano. So, there is no way kwamba nitoke Wasafi alafu niende kuwa chini ya Label nyingine, Labda niwe na label kumi zingine za kwangu mimi.

Rayvanny aliingia kwenye label ya wasafi mwaka wa 2015 na album yake ya kwanza aliachia mwaka uliofuatia 2016.

Rayvanny

Rayvanny na mtoto wake
Rayvanny na mtoto wake

Habari ya rayvann kuhama WCB ilisikika wakati bahati naye, msanii wa gospel kutoka nchini Kenya alipomuomba Harmonize aweze kufanya mazungumuzo na diamond platnumz ili aweze kurudi WCB.

Kulingana na Kevin Bahati, hata Kama harmonize ameanzisha label yake na akafaulu, anafaa pia akumbuke alipotoka. Harmonize aliingia wasafi wakati alikuwa Hana chochote na kwa sasa ako vizuri sio kwa bidii yake tu ila ya boss wake diamond platnumz.

Bahati Ali post kwenye Instagram yake na kuhimiza harmonize anaheshimu diamond platnumz kwani kufanikiwa kwake ni kwa sababu ya diamond platnumz.

“Hatufai kushahau vile tumesaidiwa wakati tushakuwa mastar. Usiwahi ukata mkono uliokulisha. Kulingana na bibilia Ephesians 6:2, dini yangu hunifunza niweze kuwaheshimu wazazi wangu na wazazi wa harmonize ni WCB…aliandika bahati

Soma hii pia (utajiri wa harmonize)

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *