Youtube videos

Joeboy – Sip (Alcohol) official video

Video ya Joeboy – Sip (Alcohol) ipo hewani. Ni video iliyokuwa ikingojewa kwa hamu sana kwani audio yake imeshika Kasi sana barani afrika.

Bado haijajulikana sababu iliyoifanya iweze kushika kwa mda mfupi ila watafiti wanasema huenda wafrika wanapenda pombe na wanafurahia inaposifiwa.

Joeboy ashawahi fanya kazi na Nandy na pia na Zuchu. Kwa sasa unaweza kuitazama video ya Joeboy – Sip (Alcohol) hapa mwangazanews kwa Mara ya kwanza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *