Youtube videosMziki

Joh Makini – Swagg Ft. Nandy | Video

Najua utakubaliana nami nikisema nyimbo ya Joh Makini – Swagg Ft. Nandy ni hatari. Joh Makini ako na uwezo mkubwa sana ikija ni mziki wa hip-hop na kusema kweli anajua kuandika mashairi yaliyokwenda shule.

Hii nyimbo yake ya Swagg amelifanyia kazi kubwa naye Nandy akaongeza viuongo Fulani na kilichotokea ni kikubwa sana. Kwenye video Nandy amejiachia vilivyo ili kuifikisha meseji iliyoko kwenye nyimbo hii ya Swagg.

Nandy Joh Makini Swagg

Video ipo vizuri, simple ila Safi sana na inaeleweka kabisa. Ili kuitazama video ya Joh Makini – Swagg Ft. Nandy bonyeza link ifuatayo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *