Youtube videosMziki

Jovial – Unanikosha | Video

Jovial – Unanikosha ndio Kazi mpya inayotesa anga nchini kenya. Jovial ni mmoja wa wasanii wa kike wanaofanya vizuri zaidi nchini Kenya.

Kuna wasanii wa kike huanza vizuri kwa mziki alafu baadae wanalemewa. Jovial sio mmoja wa hao wasanii kwana anaendelea kufanya bidii snap kwa kazi yake ya mziki

Amekuwa akifanya Kazi na wasanii wengi maarufu akiwemo Otile Brown na Kazi hizo zinafanya vizuri sana kwenye soko la mziki.

Kuna wakati jovial aliwahi kuzawadiwa gari na Otile brown hata kama gari yenyewe hatujawahi kuiona mpaka sasa. Ili kuitazama video ya Jovial – Unanikosha, bonyeza link ifuatayo uwezo kufurahia mziki mzuri

Video

https://youtu.be/DNHGoRrpric

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *