MzikiSanaaYoutube videos

Kamata – diamond platnumz mp3 download

Kamata – diamond platnumz ni nyimbo mpya ambayo diamond platnumz ameachia mda mfupi baada ya flavour kuachia kolabo iliyowashilikisha  Fally Ipupa na Diamond platnumz.

Kamata – diamond platnumz ni nyimbo ambayo imepokelewa vizuri na bila shaka baada mda mfupi itakuwa imeingia vichwani mwa watu.

Video ya nyimbo hii ni moto wa kuotea mbali. Imepangwa ikapangika na tunaweza sema Kenny ambaye ndiye aliongoza video hii amefanya Kazi nzuri sana. Kuhusu watoto wa kike usiulize kwani ni warembo na wanakata mauno ipasavyo.

Kwa Mara ya kwanza tazama  Kamata – diamond platnumz hapa ndani ya mwangaza news

Tazama hii pia : Trio Mio & Masauti – No stress

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *