Mziki

Kamati ya Roho chafu yake willy Paul na sauti sol

Ni nyimbo inayoendelea kupata umaarufu zaidi kwa wiki ya tatu Sasa. Kamati ya Roho chafu Ni nyimbo yake willy Paul akimshirikisha Bein ambaye ni mmoja wa sauti sol.

kamati ya Roho chafu
Bien sauti sol

Wawili hawa wamefanya kazi nzuri na kusema kweli kamati ya Roho chafu Ni nyimbo itakayozidi kuskizwa kwa mda mrefu. Kumbuka sauti sol wako na wafuasi wengi wanaowafuatilia. Willy Paul naye hufuatilia kwa visanga zake

Kumbuka willy waul alitangaza rasmi kwamba ameuacha mziki wa injili na kwa Sasa anafanya nyimbo za kidunia. Juzi bahati pia alitangaza kutoka kwa mziki wa injili na Sasa wawili hawa wanarekodi nyimbo za mapenzi.

Soma hii pia (uhusiano wa Zuchu na diamond platnumz)

Tazama video mpya ya willy Paul pamoja na sauti sol, kamati ya Roho chafu

 

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *