Youtube videosMziki

King Kaka – Manifest ft. Nviire The storyteller

King Kaka amekuwa akiugua kwa mda mrefu ila tunashukuru Mungu maana saa hii ni mzima kiafya na amerudi kwa mziki kama kawaida yake.

Nyimbo yake ya kwanza kuachia baada ya kutoka hospitali ni kolabo na mkali wa handithi Nviire the storyteller. Nyimbo hii imewaacha wengi kinywa wazi japo haijajulikana kama alirekodi baada ya kuugua ama ilikuwepo hata kabla ya kuugua.

Tunashukuru Mungu kwa uponyaji wa king kaka na tuna Imani ataachia kazi zaidi. Ili kutazama King Kaka – Manifest ft. Nviire The storyteller, bonyeza link ifuatayo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *