Sanaa

Kobi,Tobi na Luwi waamua kuwafurahisha mashabiki wao

Kobi,Tobi na Luwi waliamua kutoka na kuamua kupiga picha pamoja. Walionekana wakiimba nyimbo za kusifu pamoja huku wakiwa furaha ikionekana nyusoni zao.

Katika picha yao moja, Luwi alionekana kuwakumbatia kobi na Tobi kama kaka yao mkubwa huku akitaja baraka anazozipata kupitia hao mapacha wawili.

Katika ulimwengu huu, hakuna kitu huleta amani kama urafiki wa dhati. Japo ulimwengu una vitu mingi vyenye dhamani, urafiki ni kitu ya maana sana na huleta amani zaidi ya kila kitu.

kobi and Tobi Maria Citizen Tv

Warembo hawa wawili kobi na Tobi waliamua kuonyesha ulimwengu umoja wao. Watatu hawa ni waigizaji katika tamthilia tajika kwa jina maria inayopeperushwa ndani ya citizen Tv.

Kobi,Tobi na Luwi wali post picha huku wakionekana wenye kutabasamu. Kulingana na hizo picha ni kama walikuwa wametoka ku shoot tamthilia ya Maria.

Soma hii pia ( maisha mapya ya Stivo Simple Boy)

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *