Maisha

KUJUA CHANZO CHA TATIZO NI NUSU YA KUTATUA TATIZO.

Kuna Msemo usemao ? KUJUA CHANZO CHA TATIZO NI NUSU YA KUTATUA TATIZO. nataka nikufundishe jambo flani yenye hata kwa google huenda usiipate

Je unafahamu TATIZO lilofanya uhusiano wa Kwanza, wa pili na Watatu kuvunjika, Ulishawahi kuketi chini na kujiuliza ,
Na je ulipata majibu gani?

tatizo mapenzi uhusiano

Usiingie kwenye uhusiano mpya kabla haujapona MAJERAHA ya uhusiano uliopita, Kujipa muda wa kukaa pekeyako ni tiba tosha.

Usiingie kwenye uhusiano mpya ili kumkomoa X wako, usije ukajikomoa mwenyewe.

Usiingie kwenye uhusiano mpya ili kupoza moyo wako, usije ukizidisha kidonda.

Usiingie kwenye uhusiano mpya Ukitegemea kumpata MTU bora kuliko X wako, usije ukaruka mkojo ukakinyaga kinyesi .

Na usiwe kama nyani kuruka ruka kwenye miti, Tawi hili mara Tawi lile
Lkn pamoja na uhodari wote wa nyani wa kuruka kwenye miti lakini kama siku yake imefika Miti yote uteleza.

SI LAZIMA MDA WOTE UWE KWENYE UHUSIANO , JIPE MDA KAA PEKEYAKO , CHUKUA LIKIZO UFARIJI MOYO WAKO.

Soma hii pia ( Ishara za kuonyesha kuwa mpenzi wako anakupenda)

 

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *