Sanaa

Kutana naye Bridget shighadi (Sofia) Maria Citizen Tv

Bridget shighadi ni muigizaji katika Maria Citizen Tv na hujulikana Kama Sofia kwa tamthilia hiyo. Bridget ana uvuto flani na wengi hupenda kumtazama kila wakati anapoonekana kwa runinga. Bridget shighadi hupenda kuweka Siri maisha yake ya ndani

Bridget shighadi na huddah
Bridget shighadi na huddah

Bridget Shighadi ana mtoto wa kike aliyemzaa na Nick mutuma japo sio wengi wanalijua hili na Kama nilivyotangulia kusema hapo awali, Bridget hapendi kuweka maisha yake wazi.

Bridget na mtoto wake dua
Bridget shighadi na Dua

Kuna wakati aliwahi kuwa moja kwa moja katika Instagram page yake na alitaka mafans wake waweze kumuuliza swali lolote. Mmoja aliweza kuumuliza Kama ako kwa uhusiano.

Akijibu swali Hilo, Bridget Shighadi alimwambia kuwa hapendi kuongelea maisha yake hadharani. Anapenda ibakie Siri kwake na kwa wenye wako karibu naye.

 

Aliongezea na kusema mafans wake wasingojee aweke wazi taarifa kuhusiana na mahusiano yake ya kimapenzi kwa mitandao hata siku moja.

Kwenye post nyengine, Bridget shighadi alieleza sababu ya yeye kutosherehekea siku ya father’s day. Alisema maisha yake haiko kwa mitandao.

“Sio lazima kila kitu nikieke kwenye mitandao ya kijamii na naamini kila siku ni father’s day kwa baba yangu ni sidhani Ina lazima niweke wazi kwa mitandao ya kijamii ndio kila mtu aone… Alisema Bridget.

Nick mutuma and dua
Nick mutuma na mwanawe dua

Bridget shighadi na Nick mutuma hawajawahi kuweka wazi Kama “Dua” ni mtoto walimzaa pamoja lakini waliwahi ku post kwenye sherehe za kuzaliwa kwa “Dua” wakiwa pamoja na picha hizo ziliashiria kuwa wawili hawa ni wazazi.

 

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *